Jerry Muro alalamikia kuhujumiwa na CHADEMA
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro ameamuru kuwekwa ndani mmoja wa madiwani wa viti maalum wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kwa kosa la kuchukua mifuko ya saruji kinyume na utaratibu kisheria.