Nay aeleza kukamatwa na mitutu, adai hayumbishwi

Rapa Nay wa Mitego

Rapa Nay wa Mitego, amesema hawezi kuyumbishwa misimamo yake katika uimbaji na badala yake ataimba kwa kuangalia jamiii inataka nini ndiyo maana hata baada ya kupata matatizo kwenye wimbo wa wapo ameendelea kuimba na kusimamia anachokiamini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS