Simba kupaa kesho, fahamu taarifa kuhusu Okwi

Emmanuel Okwi kushoto na Meddie Kagere

Klabu ya Simba itasafiri kesho na msafara wa wachezaji 20, benchi la ufundi na viongozi kadhaa kuelekea nchini DR Congo tayari kwa mchezo wa pili Ligi ya Mabingwa Afrika kundi D dhidi ya AS Vita Club.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS