Kesi za uchaguzi Yanga kufutwa, mchakato kuendelea Jengo la Yanga Kamati ya Uchaguzi ya TFF, kupitia kwa Mwenyekiti wake Malangwe Ally Mchungahela, imeeleza kuwa wanachama waliokuwa wamefungua kesi mahakamani wamekubali kuondoa kesi hizo. Read more about Kesi za uchaguzi Yanga kufutwa, mchakato kuendelea