"Mnabahati, mngegoma tungefika pabaya"- JPM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema kuwa amefurahishwa na kitendo cha Kampuni ya Bharti Airtel, kukubaliana na serikali katika kubadilisha mfumo wa uwekezaji wao na muundo wa uongozi.