Misiba miwili iliyotikisa mechi ya ligi kuu na TFF
Kabla ya mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara kati ya KMC dhidi ya Caostal Union kuanza leo, Januari 17, 2019 wachezaji wa timu zote mbili walikaa kimya kwa dakika 1 kwaajili ya misiba miwili iliyoikumba tasnia ya soka Tanzania.