Msajili alivyowekwa 'mtu kati' CCM na upinzani
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeonesha kuunga mkono muswada mpya wa vyama vya siasa ambao umekuwa ukilalamikiwa na na vyama vya upinzani nchini kwa kile kinachodaiwa kuwa kinampa mamlaka makubwa Msajili wa vyama kuratibu masuala ya ndani ya chama cha siasa.