Mghana wa Azam FC aitwa kukipiga AFCON
Mshambuliaji wa klabu ya Azam FC raia wa Ghana, Enock Atta amefungua njia ambayo ilikuwa ngumu kwa wachezaji wengi wa mataifa ya Magharibi mwa Afrika wanaocheza ligi kuu ya Tanzania kuitwa kwenye timu za Taifa.