Nyama yamponza Ribery, apigwa faini na Bayern Franck Ribery Klabu ya soka ya Bayern Munich imepiga faini kiungo wake Franck Ribery baada ya kutuma mfululizo wa 'tweets' mbalimbali zinazoleta sintofahamu mtandaoni. Read more about Nyama yamponza Ribery, apigwa faini na Bayern