Waziri apiga marufuku wakandarasi, sekta ya afya

Dkt. Faustine Ndugulile

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza watendaji wa halmashauri zote nchini kutotumia wakandarasi kujenga miradi mbalimbali inayohusu sekta ya afya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS