CHADEMA wamtimua kiongozi wake kisa Waitara

Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwitta Waitara.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Ukonga kimelazimika kumtimua uanachama Diwani wake wa viti maalum Dorcas Lukiko kwa makosa ya kwenda kinyume na taratibu za uendeshaji wa chama hicho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS