Alliance FC wabadilisha nguo kwenye gari Alliance FC Kikosi cha Alliance FC cha Jijini Mwanza kimeshindwa kutumia vyumba vya kubadilisha nguo kwa madai ya vyumba hivyo kupuliziwa dawa ambazo si afya na ambazo zingepelekea kuwaathiri. Read more about Alliance FC wabadilisha nguo kwenye gari