Jokate ageuka mbogo, aungana na Rais Magufuli
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amesema katika uongozi wake hatawavumilia watendaji na wazazi wanaowaficha wanafunzi wanaopewa ujauzito na kusababisha wahusika kuendelea kuwa huru kwa kukosekana ushahidi.