Pichani, Kennedy Kambani pamoja na mbuzi anaotuhumiwa kumbaka.
Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Kennedy Kambani (21) huko Machinji, Malawi, ameshtakiwa kwa kumbaka mbuzi kwa madai kwamba aliomba ruhusa ya kufanya jambo hilo kwa mnyama huyo kabla ya kumuingilia.