Baada ya korosho, zao lingine lapigwa 'stop' nje Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepiga marufuku kusafirisha kahawa nje ya nchi kabla ya kukobolewa, kwa lengo la kuiongezea thamani kabla ya kuingizwa sokoni. Read more about Baada ya korosho, zao lingine lapigwa 'stop' nje