Zitto na wenzake waomba zuio la Mahakama bungeni

Kiongozi wa Chama cha ACTWazalendo, Zitto Zuberi Kabwe.

Wakili anayewakilisha wanasiasa wa upinzani wanaopinga Muswada wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Mpare Mpoki ameiomba Mahakama kuweka zuio kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bunge na Kamati zote zinazohusiana na muswada huo kutokuujadili wala kuuwasilisha bungeni hadi shauri lao litakapoamriwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS