Uwoya, Dogo Janja kimenuka tena!

Dogo Janja na Irene Uwoya siku ya ndoa yao.

Sintofahamu katika ndoa ya mastaa wawili bongo, Mwanamuziki Abdulaziz Chende 'Dogo Janja' na Muigizaji Irene Uwoya hali inaonekana kuzidi kuchafuka zaidi kutokana na wanandoa hao kuweka maneno ya vijembe kwenye kurasa zao za kijamii huku zikitafsiriwa kwamba wanatupiana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS