Fatma afunguka kuhusu kumiliki kadi za CCM,CHADEMA
Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume, amesema hana mpango wowote kwa sasa wa kumiliki kadi ya chama cha siasa nchini badala yake amedai ataendelea kutoa maoni juu ya masuala mbalimbali nchini kupitia taaluma yake ya sheria.