Tanzania kuendesha mashindano ya Tenisi ya Afrika
Mashindano ya tenisi kwa vijana Afrika, Tennis Zonal Championship, yanatarajiwa kufanyika kuanzia Januari 7 hadi 15, 2019, viwanja wa Gymkhana, jijini Dare es Salaam, yakishirikisha jumla ya nchi 10.