Wasiolipwa fedha za korosho,wambana Mkuu wa Wilaya
Mkuu wa Wilaya ya Masasi Selemani Mzee amelazimika kufanya kikao cha dharula na baadhi ya wakulima wa Vyama vya Msingi vya Ushirika AMCOS, baada ya baadhi ya wakulima kufika ofisini kwake wakilalamikia kuhusu ulipwaji wa fedha zao za korosho.