Mwinyi Zahera ataja timu zinazosindikiza ligi kuu

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kimahesabu, tayari Yanga ipo kwenye nafasi ya juu ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu huku akitaja timu mbili pekee zinazoweza kuwazuia huku zingine 17 zikiwa tayari hazipo kwenye mbio hizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS