Salah, Mane, Aubameyang kuwania tuzo za CAF

Wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika

Nyota wa Liverpool, Mohamed Salah, Sadio Mane na mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Merick Aubameyang ndiyo wachezaji watatu wa mwisho wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS