Afande Sele avunja miiko 2019

Pichani, Afande Sele

Mfalme wa vina nchini, Afande Sele ameweka wazi mwaka 2019 kwake utakuwa wa tofauti kwa kuwa ana mpango wa kubadilisha dini pamoja na kufunga ndoa kwa mara nyingine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS