Amuacha mumewe kitandani, atoka nje kujinyonga

Pichani, ikiashiria mtu aliyejinyonga juu ya mti.

Mkazi wa mtaa wa Nakayaya wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, Awetu Makunula (44) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mtandio jirani na nyumbani kwa wazazi wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS