Manara afunguka Baba yake kutumika kumuumiza

Haji Manara.

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amefunguka kuwa kitendo cha Baba yake mzazi, Sunday Manara ambaye aliichezea klabu ya Yanga zamani kuonekana bado akishirikiana na timu hiyo kinamuumiza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS