Rais Magufuli ateua wengine sita Rais, Dkt. John Magufuli. Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amemteua Jaji mstaafu, Steven Bwana kuwa mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma kwa kipindi cha miaka mitatu. Read more about Rais Magufuli ateua wengine sita