Chid Benz afunguka safari yake ya kuwa Sheikh Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mkali wa michano (free style), Rashid Makwilo maarufu kama Chid Benz, amefunguka mipango yake ya kuachana na muziki na kumtumikia Mungu. Read more about Chid Benz afunguka safari yake ya kuwa Sheikh