Sura mbili za Edward Lowassa kwa Magufuli
Mjumbe wa Kamati ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Edward Lowasa ameonekana kutafsiriwa kwa sura mbili tofauti mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kipindi cha siku 6.