Wenye hatari, kutofuzu 16 bora klabu bingwa Ulaya
Mzunguko wa tano wa hatua ya makundi ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya umekamilika hapo jana kwa baadhi ya klabu zikifuzu hatua ya 16 bora klabu zingine zikiwa hazina matumaini kabisa ya kusonga mbele.