Nahodha wa Mbabane awaahidi Simba Mohamed Hussein wa Simba akikabana na mchezaji wa Mbabane Swallows Nahodha wa klabu ya soka ya Mbabane Swallows, Tony Tsabedze, amesema pamoja na kupoteza kwa mabao mengi mbele ya Simba lakini wanakwenda kujipanga kubadili matokeo. Read more about Nahodha wa Mbabane awaahidi Simba