Shilole afunguka sababu za kutozaa na Uchebe
Msanii wa muziki wa Bongo fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohamedi maarufu kama Shilole, ameweka wazi sababu za kutozaa na mume wake anayejulikana kwa jina la uchebe, licha ya kwamba ni muda mrefu umepita tangu wawili hao wafunge ndoa.