''Kwa Mourinho lazima uwe na ngozi ngumu'' - Shaw Luke Shaw akiwa na Jose Mourinho Mlinzi wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw ameweka wazi kuwa inahitaji kuwa mstahimilivu ili kucheza kwenye kikosi cha Manchester United chini ya kocha Jose Mourinho. Read more about ''Kwa Mourinho lazima uwe na ngozi ngumu'' - Shaw