Hatma ya Mbowe na Matiko kesi ya Akwilina
Mahakama ya Rufaa kesho inatarajiwa kuanza kusikiliza kesi ya kupewa au kutopewa dhamana kwa Mbunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, pamoja na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko