Waziri Mkuu aikumbuka ahadi ya JPM 2015

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameweka jiwe la msingi mradi wa maji wa Imalabupina/Ichwankima wilayani Chato ambao una thamani ya sh. bilioni 8.28 na amewaagiza viongozi wa wilaya hiyo wahakikishe unakamilika kwa wakati.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS