CHADEMA yajibu malalamiko ya Makonda
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimetetea sababu ya wabunge wake kutoonekana kwenye baadhi ya shughuli za Maendeleo kwa kile walichokidai kuwa wabunge wake hawakupewa mialiko na wengine wakiwa na kesi mbalimbali mahakamani.