Mtoto wa Jackie Chan amuoa mwanamke mwenzie
Mtoto pekee wa kike wa muigizaji maarufu wa filamu duniani, Jackie Chan, anayejulikana kwa jina la Etta Ng, amethibitisha kufunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mwanamke mwenzake, anayejulikana kwa jina la Andi Autumn.