Rekodi za mpinzani wa Simba kuelekea mchezo wa leo
Wawakilishi wa kwanza wa Tanzania katika michuano ya vilabu barani Afrika, Mtibwa Sugar wameibuka na ushindi mnono nyumbani wa mabao 4-0 dhidi ya Northern Dynamo ya Shelisheli hapo jana, ambapo leo ni zamu ya wawakilishi wa pili Simba itakapovaana na Mbabane Swallows ya Swartzland.