Amber Ruty na mpenzi wake watupwa tena ndani
Video Vixen, Rutyfiya Abubakary maarufu kama ‘Amber Ruth’ na mpenzi wake Said Bakary Kitomali waerudishwa tena mahabusu baada ya kukosa dhamana kwa mara ya tatu katika kesi inayowakabili ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.