Waziri awatumbua vigogo watatu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amewasimamisha kazi watumishi watatu wa sekta ya ardhi katika halmashauri ya Jiji la Arusha, kwa tuhuma ya kushirikiana na matapeli wa viwanja katika jiji hilo ambalo linaongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, k