TFF yaitaka Yanga kubadilisha jina

Nembo ya klabu ya Yanga

Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limeitaka klabu ya Yanga kubadilisha jina la klabu hiyo toka kuwa Sports Club (SC) na kuwa Football Club (FC), ambalo litaitambulisha kama Yanga FC.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS