Wizara, taasisi zaonywa kufanya maandamano

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum wa Dar es salaam Lazaro Mambosasa.

Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limepiga marufuku maandamano yasiyokuwa na vibali badala yake wamezitaka taasisi au watu ambao watahitaji kufanya hivyo kuomba kibali maalum kwa ajili ya kupatiwa ulinzi pindi watakapohitaji kufanya hivyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS