Simba yasema haiwajui Mbabane Swallows

Wachezaji wa Simba na Mbabane Swallows

Klabu ya soka ya Simba imesema kuwa haiwajui vizuri wapinzani wao Mbabane Swallows lakini imejiandaa kupata ushindi kwa mazingira yoyote katika mchezo wao kwa raundi ya awali wa ligi ya mabingwa kesho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS