Mtibwa Sugar yakana kulegeza kamba

Kikosi cha Mtibwa Sugar

Uongozi wa klabu ya Mtibwa Sugar umekana tuhuma za kucheza chini ya kiwango kwa makusudi katika michezo yake ya ligi kuu Tanzania bara kila inapofika mzunguko wa pili, ambao ni kuanzia Januari hadi Juni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS