Mahakama yamuhukumu Mbowe na Matiko
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemfutia dhamana Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko baada ya kujiridhisha juu ya viongozi hao kukiuka masharti ya dhamana.