Simba wakiri kuteswa na Lipuli FC

Kikosi cha Lipuli FC

Klabu ya soka ya Simba kupitia kwa msemaji wake Haji Manara, imekiri kuwa bado wanakumbukumbu nzuri na namna ambavyo Lipuli ilivyokuwa klabu pekee iliyogoma kufungwa na Simba katika mechi zote mbili msimu uliopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS