Rais Magufuli ateua mwingine leo

Rais John Magufuli

                             
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Lutengano Undule Mwakahesya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency - PBPA).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS