Sakata la kuhamia CCM, Ester Bulaya aibuka

Mbunge wa Jimbo la Bunda, Ester Bulaya.

Mbunge wa Jimbo la Bunda, Ester Bulaya ambaye pia ni Waziri Kivuli, wa Sera Bunge Kazi, Vijana na Ajira ameibuka na kulalamikia juu ya sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii ya mwaka 2017 ambayo iliwasilishwa bungeni hivi karibuni na kujadiliwa na wabunge.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS