Mbeya City yashusha kipigo, Ambokile hakamatiki Wachezaji wa Mbeya City Klabu ya soka ya Mbeya City imeibuka na ushindi mnono wa mabao 4-1 katika mchezo wake wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya African Lyon hii leo. Read more about Mbeya City yashusha kipigo, Ambokile hakamatiki