'Mwanaume wangu lazima awe na pesa'' Miss Tanzania
Miss Tanzania 2016 Dianaflave
Mrembo wa Tanzania mwaka 2016, Diana Edward, maarufu kama 'Dianaflave', amesema kuwa mpenzi wake ana pesa za kutosha kumhudumia kwani ndio kigezo anachozingatia zaidi kwa mwanaume.