Kocha wa Juventus ataka Ronaldo asamehewe Kocha Massimiliano Allegri (kushoto) na Cristiano Ronaldo (kulia) Kocha wa klabu ya Juventus, Massimiliano Allegri ameelezea kile alichokitarajia wakati Cristiano Ronaldo alipoteuliwa kuchukua nafasi ya kuwa mpiga penalti wa klabu hiyo. Read more about Kocha wa Juventus ataka Ronaldo asamehewe